Michezo

Ratiba ya nusu fainali ya UEFA imetoka, ‘mtoto hatumwi dukani’

Hayawi hayawi na sasa yamekuwa.

Hatimaye droo ya nusu fainali ya kombe la klabu bingwa barani Ulaya imepangwa.

Katika hatua hiyo Bayern Munich wataanzia nyumbani kucheza na Real Madrid na Liverpool wamepangwa kucheza na AS Roma ya Italia.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents