Aisee DSTV!

RC Makonda atoa hekari 15 kwa Taifa Stars, Yanga kukabidhiwa eneo lao kesho awaonya wanaohoji hoji (+Video)

Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Pual Makonda hii leo siku ya Alhamisi Juni 20, amwtoa hekari 15 kwaajili ya timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars kupitia kwa Shirikisho la soka TFF akiwa na lengo la kujengwa kwa soccer technical school. Wakati akisema hayo amewataka watu kuacha kuhoji hoji yametoka wapi.

“Nimeamua kwa dhati ya moyo wangu kuwapatia Taifa Stars chini ya TFF eneo lenye ukubwa wa hekari 15 watakalojenga soccer technical school,” – Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.

Ameyasema hayo wakati wa harambee ya kuichangia Taifa Stars iliyofanyika katika hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.

 

 

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW