Michezo

Recho anaomba kura yako katika Kili Awards 2012 [Video]

[youtube]http://www.youtube.com/watch?v=BHMKs0SaTmE[/youtube] Recho amefanikiwa kuingia katika Kili Tanzania Music Awards 2012 kupitia wimbo wake wa Kizunguzungu, ameingia katika categories za Msanii Bora Anayechipukia na Wimbo Bora wa Zouk/Rhumba.

Ukitaka kumpigia kura tuma SMS kwenda 15747 yenye ujumbe Y3 kwa ajili ya Msanii Bora Anayechipukia na W5 kwa ajili ya kumpigia kura katika Wimbo Bora wa Zouk/Rhumba, angalia video ya Kizunguzungu
[youtube]http://www.youtube.com/watch?v=vEvK9lwa_UQ[/youtube]

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents