Burudani

Rihanna afanya show Morocco akiwa amevaa top ya bei nafuu, $13 tu! Itazame hapa

Mastaa wengi wa nje hasa ladies hutumia gharama kubwa sana katika mavazi ya jukwaani, kitu ambacho kwa miaka ya karibuni kimeanza kuonekana pia kwa wasanii wa Bongo.

riri in crop top

Ukimuuliza msanii gharama za mavazi yake wengi husema kiwango cha juu (bongo) sababu hupenda kuonekana tofauti na watu wa kawaida, lakini pia ndio gharama halisi za mavazi yenye utofauti yanayofaa kwa msanii kutumia awapo jukwaani. Lakini kwa nje ni jambo la kawaida kutokana pia na vipato vikubwa wanavyovipata.

Kwa upande wa Rihanna this time around amewa-suprise watu baada ya kuperform akiwa amevaa ‘crop top’ nyeusi yenye thamani ya US $13 ambayo ni sawa na shilingi 21,000 ya Tanzania. Unashangaa?

Akiwa katika onesho la Mawazine World Rhythms International Music Festival huko Rabat, Morroco weekend iliyopita (May 24), Riri aling’aa kama kawaida yake, lakini juu alivaa crop top ya Asos designs ambayo ni ya bei chee sana (kulinganisha na status yake).

Bonyeza hapa kutazama bei ya crop top kama aliyovaa Rihanna

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents