Michezo

Roger Feder atakuwa nje kwa mwezi baada ya majeraha

Roger Federer ambaye ni mchezaji bora namba tatu wa Dunia katika mchezo wa Tenisi atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa mwezi baada ya kuumia goti.

roger-federer-img10267_668

Federer ambaye ana miaka 34 ni mshindi mara 17 wa Grand Slam aliumia wakati wa mashindano ya wazi ya Australian huku akiondoshwa katika hatua ya nusu fainali na Novak Djokovic wiki iliyopita.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents