Habari

Samsung waja na laptop mpya inayotumia Windows 8 na Android ‘ACTIV Q’

Kampuni ya Samsung imetambulisha laptop mpya (tablet) ya ‘Activ Q’ yenye uwezo wa kutumia Windows 8 pamoja na Android operating system.

Active Q-55

Activ Q ina screen yenye ukubwa wa 13.3-inch (33.8cm) yenye high resolution ya 3200 x 1800 na inauwezo wa kuslide na kuwa tablet au ikakunjuliwa na keyboard ikatumika kama stand.

Activ Q-3

Activ Q-2

Active-Q-7

Laptop hii yenye unique feature inayomuwezesha mtumiaji kuswitch kati ya Windows 8 au Android inauwezo wa kukaa na charge kwa masaa yasiyopungua 9.

Samsung bado hawajasema itakuwa inapatikana kwa bei gani.

Uzinduzi wa laptop mpya za Samsung umefanyika Alhamisi (June 20) katika mkutano na waandishi wa habari huko London, Uingereza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents