Habari

Selfie Olimpics: Jionee shindano la picha za hatari za selfie ‘The Most Dangerous Selfie’

Kwa wale wapenda picha za kujipiga wenyewe yaani ‘Selfie’ kuna mchezo umeanzishwa mtandaoni na kubatizwa jina la ‘Selfie Olimpics’.

selfie-1

Mchezo huo ambao umeonekana kuwavutia vijana wengi zaidi unawataka watumiaji wa Facebook, Twitter na Instagram kupiga picha za hatari ‘The most dangerous and outlandish selfie ever’ na kuzipost katika mitandao hiyo.

selfie-2

Mtandao wa Business Insider umeripoti kuwa ukurasa wa Facebook uliofunguliwa masaa kadhaa yaliyopita tayari umepata likes 30,000 na kuna picha 28,000 tayari zimewekwa Instagram za mchezo huo.

Jionee mwenyewe baadhi ya picha za shindano la wataalam wa selfie.

selfie-3

selfie-4

Selfie-7

Selfie-8

Selfie-9

Selfie-10

Selfie-11

Selfie-12

Selfie-13

Selfie-14

Selfie-15

Selfie-16

selfie-5

Selfie-6

Source: Mail Online

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents