Michezo

Serena Williams kumkabili Arantxa Rus, Johanna Konta dhidi ya Vikhlyantseva ufunguzi wa Wimbledon 

Mwanamama Serena Williams anatarajiwa kuanza mchezo wake wa ufunguzi dhidi ya Arantxa Rus kwenye michuano ya Wimbledon huku Muingereza, Johanna Konta akimkabili Natalia Vikhlyantseva.

Williams raia wa Marekani anachezaji taji lake la pili la Grand Slam tangu kutoka kujifungua na kumfanya kushuka kwenye msimamo wa viwango vya ubora hadi kufikia nafasi ya 183.

Johanna Konta was beaten in the Wimbledon semi-final last year

Johanna Konta 

Serena mwenye umri wa miaka 36, alitwaa ubingwa wa michuano ya Australian Open mwaka jana wakati akiwa na ujauzito na sasa anarejea katika Grand Slam.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents