Sergio Ramos aonyesha ndinga yake mpya aliyozawadiwa kuelekea birthday yake, thamani yake ni …

Ikiwa zimebakia siku 21 kabla ya Sergio Ramos wa Real Madrid kusherehekea birthday yake, mchezaji huyo tayari ameshaanza kupokea zawadi za mamilioni.

Mchezaji huyo ameonyesha gari lake jipya aina ya Fiat 600 yenye rangi nyekundu ambayo amenunuliwa na kaka yake ainayeitwa René Ramos. Gari hilo lina thamani ya dola 23,600 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 50 za Kitanzania.


Sergio Ramos (kushoto) akiwa na kaka yake Rene Ramos (kulia)

Ramos ameionyesha ndinga yake hiyo mpya kupitia mtandao wa Instagram na kuandika ujumbe unaosomeka, “The classics never die. | Classic cars never die.🚗🕵♂ 6⃣0⃣0⃣ Birthday gifts that come forward. | Earthly birthday presents.💣💥🎁 Thank you.”

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW