Michezo

Shiza Kichuya aiteka msimbazi

Kiungo mahiri wa klabu ya Simba, Shiza Kichuya amechaguliwa na wapenzi wa Simba kuwa mchezaji bora wa mechi dhidi ya Mbao FC.

Shiza kichuya amekuwa akifanya vizuri katika nafasi ya kiungo mchezeshaji pia kweye safu ya ushambuliaji na hivyo kumfanya kuwa kiungo muhimu kwenye kikosi cha Simba.

“Tunashukuru wapenzi wa Simba waliokuwepo uwanjani na Kwenye Simba App ambao wameona mchango wa Shiza kichuya ambaye ameisaidia Simba kwa kuipatia bao la Kwanza kwenye mchezo wa leo(jana) dhidi ya Mbao FC”.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents