Michezo

Simba chupuchupu, Mavugo ainusuru mikononi mwa Lipuli 

Vinara wa ligi kuu Vodacom Tanzania Bara, Simba SC wamefanikiwa kutoka sare ya bao 1 – 1 dhidi ya wenyeji wao timu ya Lipuli FC mchezo uliyopigwa dimba la Samora mkoani Iringa.

Lipuli FC iliyoonyesha kandanda safi ilipata bao lake la mapema kupitia kwa mchezaji wake hatari kwa sasa Adam Salamba dakika ya 31 kisha Simba ikasawazisha kupita kwa Laudit Mavugo katika kipindi cha pili cha mchezo huo.

Msimamo wa ligi kuu soka Tanzania Bara kwa timu zote 16 mpaka sasa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents