Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

Simba wairarua Moro Sisters (Picha)

Timu ya wanawake ya Simba Queens imechomoka na ushindi wa mabao 5-3 dhidi ya Moro Sisters katika michuano ya ligi ndogo ya wanawake ilichezwa leo Uwanja wa Karume.

Katika mchezo huo mchezaji wa timu ya Simba, Zainab Mrisho ameibuka na mfungaji bora baada ya kufunga mabao matatu ‘hat trick’ katika ushindi huo wa liyoupata wa mabao mabao matano.

 

Mchezaji wa timu ya Simba Queens, Zainab Mrisho akikabidhiwa mpira wake baada ya kufunga mabao matatu ‘hat trick’ katika mchezo huo

Kikosi cha Moro Sisters 

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW