Simba yalazimishwa sare na Singida United KAGAME Cup

Wekundu wa Msimbazi Simba hii leo wamelazimishwa sare ya bao 1 – 1 dhidi ya klabu ya Singida United mchezo uliyopigwa dimba la taifa jijini Dar es salaam.

Adam Salamba, Meddie Kagere waing’arisha Simba Kagame Cup

Simba ilikuwa ya kwanza kupata bao kupitia kwa mshambuliaji wake  Meddie Kagere dakika 15 ya kipindi cha kwanza kisha mchezaji wa Singida United Lyanga akiisawazisia timu yake dakika ya 35.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW