Michezo

Simba yarudi kwa mafungu Djibouti (+video)

Kikosi cha klabu ya Simba kimerejea alfajiri ya kuamkia leo kikitokea Djibouti katika michuano ya Kombe la Shirikisho ambapo ilichomoza na ushindi wa bao1 – 0, Simba imetua katika uwanja wa kimataifa wa JK Nyerere huku kikionekana kuwa na kutokuelewana na waandishi kushuhudia timu hiyo ikirejea kwa mafungu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents