MichezoUncategorized

Sitaubakiza mkanda hata mmoja – Katie Taylor

Mwanamasumbwi wa uzito wa kati, Katie Taylor akiwa katika maandalizi ya kuupigania  ubingwa wa IBF dhidi ya Victoria Bustos huko New York, amesema kuwa yupo tayari kutwaa mikanda ya aina zote.

Taylor ambaye ni bingwa wa WBA anatarajia kujiongezea mkanda mwingine wa IBF pale atakapo kutana na Bustos huko Barclays Center Aprili 28.

Bustos atautetea mkanda wake wa IBF baada ya kuanza kushinda mkanda Mwezi Septemba mwaka 2013, Taylor amesisitiza kuwa yupo katika kiwango cha hali ya juu kukutana na Muargentina huyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents