Burudani ya Michezo Live

Steve Nyerere amtolea uvivu Papaa Zahera “Usiizungumzie Yanga kirahisi kama Mke wa Nje, siri za jandoni zinabaki jandoni”(+video)

Msanii wa filamu na shabiki wa klabu ya Yanga, Steve Nyerere ameamua kumtolea uvivu aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Mwinyi Zahera kwa vitendo vyake vya kuzitembelea Radio mbalimbali na kuanza kuzungumzia mchango wake wa hali na mali dhidi ya waajiri wake hao wa zamani.

Katika baadhi ya mahojiano na baadhi ya Radio Zahera amesikika akizungumzia fedha alizotumia kuisaidia timu hiyo hali ambayo imeonyesha kumkera msanii huyo Steve Nyerere na kuamua kufunguka haya.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW