Soka saa 24!

Style ya Azonto imeinfluence uchezaji wa Chris Brown kwenye ‘Fine China’

Mtindo wa uchezaji kwenye video ya wimbo mpya wa Chris Brown, Fine China umechangiwa na style maarufu nchini Nigeria, iitwayo Azonto.

http://www.youtube.com/watch?v=CvvM9mf8deo

Chris Brown alikuwa akihojiwa kwenye kipindi cha 106 and Park cha BET na kusema kuwa alipokuwa Nigeria alifundishwa mtindo huo na msanii Wizkid wa nchini humo na akaupenda kwakuwa ulikuwa unafanana na jinsi Michael Jackson alivyokuwa akicheza.

http://www.youtube.com/watch?v=CvvM9mf8deo

Lini Kiduku kitapewa shavu na wasanii wa Marekani?

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW