TFF yaingia mkataba wa mamilioni na kampuni ya kubashiri (+Video)

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia akizungumzia mkataba waliongia na kampuni ya kubashiri ya Play Master.

”Kumtambulisa na kusaini naye mkataba ‘partner’ wetu mwingine wa shirikisho kwenye michezo yetu na ligi zetu. Tutaingia nao mkataba wa miaka miwili kwa gharama ya shilingi milioni 240 za Tanzania.

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW