Michezo

TFF yashitukia mchezo mchafu wa upangaji matokeo FDL

By  | 

Kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Kidao Wilfred amezitahadharisha timu za Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara (FDL) kuwa makini na aina yoyote ile ya upangaji wa matokeo wakati huu Ligi inafikia ukingoni huku kukiwa na mvutano mkubwa wa kuitafuta nafasi ya kupanda daraja katika makundi yote matatu.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments