Michezo

The Tanzanite mawindoni dhidi ya Nigeria (Picha)

Timu ya Taifa ya Tanzania ya wasichana ya ‘The Tanzanite’ wakiwa kwenye mazoezi makao makuu ya Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) yaliyopo Karume Jijini Dar es salaam wakijiandaa na mchezo dhidi ya Nigeria kuwania nafasi ya kucheza Kombe la Dunia.

The Tanzanite inatarajia kujitupa dimbani kuwakabili The Super Eagles timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria Septemba 17 nchini Nigeria kabla ya kurudiana tena mwezi huo huo mwaka huu.

Zifuatazo ni picha zinazoonyesha wachezaji hao wakiwa katika mazoezi uwanja wa Karume

By Hamza Fumo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents