Michezo

The Tanzanite yakabidhiwa bendera tayari kuelekea Nigeria

By  | 

Timu ya Taifa ya Wasichana U20 ‘ The Tanzanite’ wamekabidhiwa Bendera ya Taifa leo na Mkurugenzi wa Michezo, Yusuph Singo ambapo watakwenda Nigeria kuwania nafasi ya kucheza Kombe la Dunia mwaka 2018.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments