Michezo

UEFA yatoa top 3 ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora Ulaya

Shirikisho la soka barani ulaya, UEFA limetangaza majina matatu ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora msimu ulioisha ndani ya mipaka ya bara hilo.

IMG_6870

Cristiano Ronaldo, Lionel Messi na Luis Suarez ndio waliofanikiwa kuingia kwenye tatu bora itakayopigiwa kura mpaka kupatikana kwa mshindi wa tuzo hiyo mwaka huu.

Messi na Suarez wanatoka katika klabu moja ya FC Barcelona na waliweza kutwaa makombe matatu msimu uliopita huku Ronaldo alitwaa tuzo hiyo msimu uliopita akiibuka mfungaji wa La Liga msimu uliopita kwa kufunga magoli zaidi ya 40.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents