Michezo

UFC wathibitisha kufanyika pambano la pili kati ya Ronda Rousey na Holly Holm

Rais wa UFC, Dana White amethibitisha Alhamis hii kuwa Ronda Rousey atapata mechi ya pili kutetea mkanda wa bantamweight dhidi ya Holly Holm, aliyempiga kwa knock out mwezi uliopita.

ronda-rousey-holly-holm-zoom-05918508-50b0-491d-ab15-690449f21dcb

Akiongea kwenye kipindi kimoja cha redio jana, White alisema kutakuwepo na mechi ya marudiano kati ya mabondia hao japo hakusema itakuwa lini.

“I think that if we didn’t make the rematch, me and Lorenzo should probably lose our “Yeah, that fight’s going to happen. I don’t know when, but that’s the fight that will happen,” alisema.

“Ronda Rousey has gone undefeated, taken the sport to another level, and was beating the best women in the world in 14 seconds or 30 seconds, so she deserves a rematch.”

Aliongeza kuwa ameshazungumza na Holm ambaye amekubali kuwa Ronda anastahili mechi ya pili.

Nov. 14, Holm, 34, aliwashangaza mashabiki baada ya kumpiga kwa knock out Rousey, 28, kwa teke la kichwani katika raundi ya pili.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents