Moto Hauzimwi
TECNO Spark 2

Utajiri wa Aliko Dangote washuka

Tajiri kutoka Barani Afrika na mmiliki wa kiwanda cha cement kilichopo mkoani Mtwara, Aliko Dangote na raia wa Nigeria umeshuka kutoka nafasi ya 55 hadi kufika nafsi ya 105, kwa watu matajiri duniani.

Kwa mujibu wa Jarida la Forbes limebainisha kuwa mali za tajiri huyo anayefanya uzalishaji wa saruji,sukari, unaga wa ngano na vinginevyo umeshuka kutoka dola bilioni 15.4 kwa mwaka 2016 hadi bilioni 12.2 mwaka huu.

Utajiri huo umepungua kutokana na thamani ya sarafu ya Nigeria kushuka.

Na Laila Sued

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW