Tupo Nawe

Vanessa Mdee afunguka kuhusu ukaribu wake na Chris Brown ” Amenifollow Instagram” – Video

Vanessa Mdee afunguka kuhusu ukaribu wake na Chris Brown " Amenifollow Instagram" - Video

Msanii wa muziki wa bongo fleva, Vanessa Mdee amefunguka na kueleza kuhusu ukaribu wake na msanii kutoka marekani Chris Brown hadi kupelekea kumfollow katika akaunti yake ya Instagram.

akiongea na waandishi wa habari Vanessa ameogea baada ya kuulizwa swali kinachoendelea kati yake na msanii huyo Veemoney alisema:-

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW