Videos
Video: Beka Flavour – Sikinai
Msanii Beka Flavour kutoka kundi la Yamoto Band baada ya kufanya vizuri na single yake ya ‘Libebe’, ameachia video mpya ya wimbo uitwao ‘Sikinai’. Video imeongozwa na kampuni ya Kwetu Studio.
https://youtu.be/2FfRDWRtqs8