Videos

Video: ‘Bweta la Uhalifu’ K24 yabaini wake za watu wanavyogeuka makahaba mchana

Linapokuja suala la utengenezaji wa makala za TV za kuvutia na zenye uchunguzi wa kina, kituo cha runinga cha Kenya cha K24 kinafanya vizuri.

https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=22mMSpfOq_A

Hivi karibuni kituo hicho kilibaini kile ambacho watu wengi kiliwaacha mdomo wazi kuwa, wapo wake za watu wanaofanya shughuli za kuuza miili yao mchana na usiku kurejea nyumbani kwenye ndoa zao.

Kwenye uchunguzi huo wa hatari, waandishi wa kituo hicho walienda kwenye baadhi ya madanguro na kujifanya wateja huku wakiwa na camera zilizokuwa zimefishwa. Tazama video hii itakayokuacha mdomo wazi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents