Burudani

Video: Davido na Wizkid watumbuiza pamoja kwenye jukwaa moja Lagos

Mastaa wa muziki wa Nigeria, Davido na Wizkid wamethibitisha kumaliza kabisa tofauti zozote zilizowahi kuwepo kati yao, baada ya kutumbuiza pamoja jukwaani kwenye show iliyofanyika Alhamisi Dec.3, 2015 jijini Lagos.

https://youtu.be/GsNC2qaCamw

Kwa mujibu wa video iliyosambaa ya show hiyo ya club, Davido ndiye aliyekuwa wa kwanza kupanda jukwaani na kuimba wimbo wake wa ‘Dami Duro’, na wakati wimbo unaelekea kuisha ghafla Wizkid alitokea upande wa mashabiki na kuvutwa mkono na Davido kupanda jukwaani, wakaendelea kuimba pamoja nyimbo zote zilizofata bila kushuka.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents