Burudani

VIDEO: Kuhusu ushoga RC Makonda atafanikiwa ‘Killed It’ – Rapper Jay 93

Rapper Jay 93 ameutambulisha rasmi wimbo wake mpya wa “Killed It” ambapo wakati akiutambulisha amesema kuwa huu ni wimbo wake wa kwanza ambao anaamini utafungua milango ya kipaji chake.

Kwa upande mwingine, Jay 93 amezungumzia sakata la RC Makonda la kupambana na ushoga nchini Tanzania ambapo amesema atafanikiwa kwa asilimia kubwa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents