Michezo

Video: Lionel Messi atapika uwanjani kwenye mechi ya Argentina vs Romania

Lionel Messi jana alitapika uwanjani, kwa mara nyingine kwenye mechi ya Argentina na Romania huko Bucharest.

http://www.youtube.com/watch?v=rpznsA1yobE

Mshambuliaji huyo wa Barcelona alidumu uwanjani kwa dakika 9 pekee katika kipindi cha kwanza kabla ya kusimama na kurudisha chenji.

Hiyo si mara ya kwanza kwa mchezaji huyo kutapika uwanjani. Mwaka 2011 kwenye Spanish Super Cup pia alitapika kwenye mechi ya Barcelona na Real Madrid.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents