Burudani

Kanye West Kim Kardashian kufunga ndoa May 24

Kanye West na Kim Kardashian wanatarajia kufunga ndoa jijini Paris, Ufaransa May 24.

Kanye West Show : Front Row - Paris Fashion Week Womenswear Fall/Winter 2012

“Haitakuwa harusi kubwa,” chanzo kimoja kililiambia jarida la PEOPLE. Kilisema kuwa watu 150 watahudhuria. Mtoto wao North West, atakayefikisha mwaka 1 mwezi June, anadaiwa kufanya kitu kwenye harusi yao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents