Burudani ya Michezo Live

Video: ”Neema imeshuka Jangwani, anatembea juu, Deo Kanda anaukimbia mpira” – Mashabiki wa Yanga watamba kisa Morrison

Mashabiki wa Yanga SC wamemwagia sifa lukuki Winga wao mpya raia wa Ghana hasa kutokana na kiwango alichokionesha katika michezo yake miwili tangu asajiliwe na kujiunga na Wanajangwani hao kupitia dirisha la usajili la mwezi Januari.

Baadhi ya Mashabiki wengine wamesema kuwa ipo haja kwa Serikali kutengeneza kituo cha afya ndani ya uwanja wa Taifa ili wale wachezaji watakao pata majeraha kutokana na vyenga vya mchezaji wao Morrison basi iwe rahisi kupatiwa matibabu. Hata hivyo hayo ni maneno ya soka tu.

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW