Burudani
Video: Rihanna atoa documentary inayoonesha uhusiano mkubwa kati yake na mashabiki ‘Half Of Me’
Hii ni documentary ya dakika 11 inayoonesha uhusiano mkubwa uliopo kati ya Diamonds hit maker Rihanna na mashabiki wake, jinsi anavyowa treat hata nje ya jukwaa, na jinsi wanavyompokea yeye kama Star.
Itazame
http://youtu.be/2Wk-f1iDq0g