Michezo

Video: Samatta afunguka kutajwa kwenye tafiti ya vijana 100 wenye ushawishi zaidi barani Afrika

Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania na klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta kwa mara ya kwanza amefunguka juu ya kutajwa na taasisi inayojishughulisha na tafiti mbalimbali zinazo husu vijana wenye ushawishi zaidi walio chini ya miaka 40  barani  Afrika ya The Africa Youth Awards, wakatio kwenye orodha ya majina ya vijana 100 ya vijana wenye ushawishi kutoka kwenye mataifa 26 barani Afrika kwa mwaka 2018, na Tanzania ikiwemo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents