Videos
Video/Audio: Shaa – Sugua Gaga
Baada ya kusaini mkataba wa miezi 6 wa usimamizi na kampuni ya Mkubwa na Wanae, ya Said Fela, Shaa ameachia kwa pamoja single ya wimbo wake Sugua Gaga pamoja na video yake.
http://youtu.be/j2uQVeJ67Vc
[soundcloud url=”https://api.soundcloud.com/tracks/117972515″ width=”100%” height=”166″ iframe=”true” /]