Michezo

Video: Sio siri tena kiuchumi tumeyumba, tuna hali mbaya – Yanga

Klabu ya Yanga kupititia kwa mwenyekiti wake wa matawi, Bakili Makele wameililia Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF kuacha kukata madeni yao wanayo wadai kwakuwa kwa sasa wameyumba kiuchumi na wao ndiyo wawakilishi pekee wa michuano ya kimataifa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents