Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Video: Tazama goli la Msuva lililowaokoa Waarabu dhidi ya Wacongo

Jana usiku kuna baadhi ya michezo ya kombe la klabu bingwa Afrika imechezwa. Klabu ya Difaa El Jadidi ya Morocco ambayo anacheza Mtanzania, Simon Msuva, ilicheza na AS Vita Club ya Congo DRC na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0. Bao hilo la El Jadidi lilifungwa na Msuva kunako dakika ya 9.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW