Videos
Video: Wagosi wa kaya Ft. Amara – Upepo Sio
Kundi la Wagosi wa Kaya kutoka Tanga, baada ya kuwa kimya huu ndio ujuo wao mpya wameachia hii video mpya wimbo unaitwa ‘Upepo Sio’, video imeongozwa na Jeff Production.
https://youtu.be/RV6QROXPBEY