Michezo

Video ya kijana mwenye miaka 18 anayewaniwa na vilabu vya Arsenal na Barcelona

Vilabu vikubwa barani Ulaya kwa sasa vinaonekana kutumia fedha nyingi kuweza kuwasajili wachezaji wenye umri mdogo.

images

Ousmane Dembele (18), ni mchezaji wa Rennes inayoshiriki ligi kuu nchini Ufaransa (Ligue 1). Vilabu vya Arsenal na Barcelona vinaonekana kumnyatia kwa karibu mchezaji huyo mwanye kipaji cha hali ya juu.

Wikiendi iliyoisha klabu ya Barcelona iliwatuma maskauti wake kwenda kumuangalia mchezaji huyo alishinda magoli matatu kwenye ushindi wao wa 4-1 dhidi ya timu ya Nantes.

https://youtu.be/wuU4oGR0k8s

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents