Burudani

Video ya Shilole ‘Chuna Buzi’ iliyofanywa na Nisher kutoka March 24

Ikiwa ni takribani wiki mbili toka tushuhudie video ya pili kwa mwaka huu (2014) kutoka kwa director Nisher wa Arusha, ya wimbo wa msanii mpya Barakah Da Prince, Usiku wa Jumapili kuamkia Jumatatu (March 24) tutarajie video nyingine mpya ya wimbo wa Shilole ‘Chuna Buzi’.

shishi chuna buzi-1

Chuna Buzi itakuwa ni video ya pili ya Shishi baby kufanya na director Nisher baada ya Nakomaa na Jiji.

shishi chuna buzi-4

Kama ilivyo kawaida ya Nisher wiki hii amekuwa aki tease vipande vya video pamoja na picha za video hiyo ambayo ilifanyika jijini Dar es salaam.

shishi chuna buzi-2

shishi chuna buzi-3

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents