Michezo

Video: Yanga na Simba 3-1

 

Makamu Mwenyekiti wa Yanga Davies Mosha akijidai na ngao ya hisani ambayo vijana wake wameipata kwa kuwafunga Simba 3-1.
Vijana wa Jangwani Yanga wamewatungua Wekundu wa Msimbazi Simba, bao 3-1 jioni ya jana ndani ya uwanja wa taifa jijini Dar katika mchezo wa ngao ya hisani.

Baada ya dakika 90 ngoma ilikuwa droo 0-0 ndipo ikaja mikwaju ya penati ambapo Yanga walifanikiwa kupata goli tatu huko kipa wa Simba Ally Mustafa Barthez akiokoa mbili.

Simba walikosa penalti mitatu, moja walipaisha na kipa wa Yanga Yao Berko toka Ghana aliokoa moja.

{youtube}-9IXL0nffBI{/youtube}

{youtube}EIcMGC1U4_0{/youtube}

{youtube}YR21mLVDe90{/youtube}

{youtube}DfxpxvUPcVE{/youtube}

{youtube}_hotYX7NTS8{/youtube}

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents