Picha

Video/Picha: Flaviana Matata azindua stationery zake kwa kutoa msaada kwenye shule ya msingi Minazini, Dar

Mwanamitindo wa kimataifa, Flaviana Matata, leo amezindua stationery zake zilizopo chini ya taasisi ya Flaviana Matata Foundation.

Uzinduzi huo umefanyika kwenye shule ya msingi Minazini, iliyopo Mwananyamala B, jijini Dar es Salaam ambapo pia ametoa msaada wa vifaa mbalimbali vya shule vyenye brand yake ya Flaviana Matata Foundation yakiwemo madaftari, kalamu za kuandikia na vifaa vingine vya shuleni.

IMG-20131025-WA0004

IMG-20131025-WA0002

Nancy Sumari, Flaviana na Ommy Dimpoz
Miongoni mwa watu waliohudhuria uzinduzi huo ni pamoja na Nancy Sumari na msanii wa Tupogo, Ommy Dimpoz

Akiongea na Bongo5 kwenye uzinduzi huo, Flaviana amesema amefanya uzinduzi kwa kutoa msaada huo kwakuwa lengo la taasisi yake ni kusaidia wanafunzi wasio na uwezo.

“Hapa shuleni kuna wanafunzi hawajiwezi, tukasema tuje tuzindue stationery, tuconnect na wanafunzi, waone kile tunachokifanya, tusikilize pia matatizo yao,” alisema Flaviana ambaye alizitaja stationery zitakazokuwa zikizalishwa chini ya taasisi yake kuwa ni pamoja na madaftari, kalamu za wino, penseli, ufuto, rula na compass.

IMG_6346 (1024x683) (600x400)
Flaviana akionesha daftari na kalamu zake

Aliongeza kuwa pamoja na kwamba vifaa hivyo vya shule vitakuwa vikiuzwa, kuna watu watakaokuwa wakipewa msaada.

Pia amezikaribisha taasisi na makampuni nchini kununua vifaa hivyo na kisha kutoa misaada kwenye shule mbalimbali nchini.

Faraja Kotta
Faraja Kotta

Flaviana akisaini kitabu cha wagenui
Flaviana akisaini kitabu cha wageni

Flaviana Matata akimkabidhi Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Minazini
Flaviana Matata akimkabidhi Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Minazini

Flaviana Matata na Myler Nyangasa wakiwa wameshikilia
Flaviana Matata na Myler Nyangasa wakiwa wameshikilia

Marafiki wa karibu wa Flaviana akiwemo Khadija Mwanamboka, kushoto
Marafiki wa karibu wa Flaviana akiwemo Khadija Mwanamboka, kushoto

Myler Nyangasa, Flaviana na Elligiver
Myler Nyangasa, Flaviana na Elligiver

Nancy Sumari na Faraja Kotta wakiziangalia stationery za FMF
Nancy Sumari na Faraja Kotta wakiziangalia stationery za FMF

Ommy Dimpoz, kushoto alijitokeza kumuunga mkono Flaviana kwenye uzinduzi huo
Ommy Dimpoz, kushoto alijitokeza kumuunga mkono Flaviana kwenye uzinduzi huo

IMG_6333 (1024x683) (600x400)

IMG_6334 (1024x683) (600x400)

IMG_6337 (1024x683) (600x400)

IMG_6351 (1024x683) (600x400)

IMG_6353 (1024x683) (600x400)

IMG_6354 (1024x683) (600x400)

IMG_6374 (1024x683) (600x400)

IMG_6376 (1024x683) (600x400)

IMG_6392 (1024x683) (600x400)

IMG_6408 (1024x683) (600x400)

IMG_6409 (1024x683) (600x400)

IMG_6413 (1024x683) (600x400)

IMG_6415 (1024x683) (600x400)

IMG_6417 (1024x683) (600x400)

IMG_6430 (1024x683) (600x400)

IMG_6432 (1024x683) (600x400)

IMG_6438 (1024x683) (600x400)

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents