Michezo

Wachezaji tisa out Serengeti Boys

Timu ya Taifa chini ya miaka 17 Serengeti Boys ambayo ipo kambini kwa sasa imewapunguza wachezaji tisa kutoka 43 waliyotajwa hapo awali mpaka kufikia 34 ambao wataendelea na kambi hiyo.

Orodha hiyo inajumuisha wachezaji 30 wa ndani na wanne magolikipa.

Maandalizi hayo ya Serengeti Boys yatakwenda sambamba na kucheza mechi za kirafiki kabla ya kuhairisha kambi hiyo itakayokuwa ikifanyika mara kwa mara na mpango huku mpango uliyopo kila mwezi ni timu hiyo kuingia kambini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents