Michezo

Waitara azindua mashindano ya golf kwa wanawake Lugalo

Gofu__kikao_face
(Raisi wa Gofu wanawake Tanzania Mbonile Borton, Jenerali mstaafu  George Waitara na Edward Ndolwa)  Chama cha Gofu wanawake Tanzania Leo jumanne wameanza mashindano ya mchezo huyo katika viwanja vya Lugalo, huku ikikutanisha timu nne kutoka Tanzania, Kenya, Uganda na Zambia.

 

 

Watakao anza kwenye michuano hiyo ni

gofu_benderaa

Gofu__George_Wasira

Mgeni rasmi wa wa ufumbuzi huo George Waitara, na ndiyo mwaajilishi wa viwanja hivyi mwaka 2005, vyenye mashimo kumi na nae ni cha pili baada ya Gym khana ya Posta mpya.

Gufu_uongozi

Hapa ilikuwa ni picha ya pamoja.

Gofu_Zambia

Timu ya Gofu wanawake Zambia, ikifungua bendera ambayo ilifungwa vibaya kichwa chini miguu juu, ilikuipandisha wakati wa utambulisho wa timu yao.

Gofu_Uganda

Timu ya Gofu ya Uganda nao walipandisha bendera yao, kwaajili ya kutambulisha timu yao na nchi yao katika michuano hiyo.

Gofu_Tz_bendera

Tanzania nayo ilipandisha bendera yake, ambayo ilipepea vizuri kuashiriria ‘the Best is Coming’, mimi nikiwa mmoja wapo ninayoiombea ushindi timu yetu ya Tanzania katika michuano hiyo.

Gofu_Kenya

Bendera ya Kenya nayo ilipepea kuashiria timu ya Gofu ya Kenya.

Gofu_Watazamani

Mashabiki wakiangalia, uzinduzi huo.

Gofu_Risala

Gofu_polisi_bendi

Gofu_mkutano

Gofu_Mbonile

Gufu_uongozi

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents