Michezo

Wallace Karia akutana na rais wa CAF

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika (CAF), Bw. Ahmad Ahmad leo Oktoba 9, 2017 amepokea ugeni kutoka Tanzania, Rais wa TFF Bw. Wallace Karia na Kaimu Katibu Mķuu, Bw. Kidao Wilfred waliotembea Makao Makuu ya CAF yaliyoko Cairo, Misri.

Rais wa heshima wa TFF ambaye ni Mjumbe Kamati ya Utendaji ya CAF, Bw. Leodegar Tenga pia alishiriki katika mkutano huo.

Katika mkutano huo rais wa CAF, Ahmad Ahmad amethibitisha kutoa msaada kwa TFF katika mipango ya maendeleo ya Tanzania kwa kuwa soka siku zote hujenga umoja.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents