Habari

Wasanii wang’ara Smilling Faces

By  | 

Model_wasanii_face

Wasanii waliongara kwenye Smilling Faces Model, siku ya juma mosi, wapo waliotwa tuzo na wengine walikuja kwaajili ya kufanya show hiyo ipendeze na kuwa na mvuto wa pekee miongoni mwa watu waliopata tuzo hizo ni Tid, Yusuph Mlela, Clouds Tv na radio East Africa Tv na wengine wengi.


Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments