Promotion

Wateja 50 waondoka na bodaboda za Vodacom

001.BODABODA
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu,akionesha moja ya namba ya simu ya mshindi aliejishindia Pikipiki katika promosheni ya”Timka na Bodaboda”inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,Jumla ya washindi(50)wamejishindia Pikipiki na wengine(22)wamejinyakulia shilingi milioni moja moja. Ili kujiunga na promosheni hii TUMA NENO PROMO kwenda 15544,anayeshuhudia kushoto ni afisa wa huduma za ziada wa kampuni hiyo Rashid Maggid na kulia ni Msimamizi wa bodi ya Michezo ya kubahatisha nchini Abdallah Hemedy

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents