Michezo
Waziri Mwakyembe apokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha mchezaji, Yvonne Christopher
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha mchezaji wa mpira wa kikapu nchini, Yvonne Christopher Wambura kilichotokea tarehe 21 ya mwezi Machi 2018 Jijini Dar es Salaam.