Burudani

Wema Sepetu humwambii kitu kwa RC Makonda, awapa makavu wanaomchukia

Huwezi kumwambia kitu malkia wa filamu Bongo, Wema Sepetu kwenye utendaji kazi wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.

Wema Kupitia mtandao wa Instagram, ameweka picha ya kiongozi huyo ya kumsifia huku akitupa jiwe gizani kwa kuandika ujumbe kwa watu wanaomchukia.

And he keeps doing what he does Best… My RC… Mtumishi wa Mungu… .
.
.
Hujalazimishwa kupenda lakini… Gnyt World… Ok bye…

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents