Yanga SC yatua Dar kimya kimya (+Picha)

Kikosi cha klabu ya Yanga  kimewasili Dar es salaam kimya kimya kikitokea Viziwani Zanzibar katika michuano ya Kombe la Mapinduzi.

Yanga SC ikitolewa katika hatua ya nusu fainali ya michuano ya Mapinduzi na timu ya URA ya Uganda kwa njia ya mikwaju ya penati 5-4.

Katika mikwaju hiyo Mzambia, Obrey Chirwa alikosa bao nahivyo kuifanya URA kosanga mbele ambapo sasa atacheza mchezo wa fainali na Azam FC tarehe 13 siku ya Jumamosi.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW